Wakati wa muongo uliopita mahitaji ya kuboresha muonekano au kurembesha meno yameongezeka kwa kiwango kikubwa hasa katika nchi zilizoendelea. Hii imechochewa na kupatikana kemikali mpya za meno (
Jinsi ya Kupunguza Uzito Wako (
Written by Dr KhamisKuna njia nyingi sana ambazo hujaribiwa na watu ili kupunguza mwili na tumbo lakini zinakuwa ngumu sana au zinakuwa haziendani na mazingira wanayoishi hivyo kupelekea kushindwa njiani.
Dalili na Ishara za Ujauzito
Written by Dr.MayalaDalili za ujauzito hutofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwanamke mwingine, ingawa kuchelewa au kukosa hedhi ni dalili moja muhimu sana ya ujauzito.
Ni muhimu
Kuoza kwa Kasi kwa Meno
Written by Dr. Augustine RukomaTafsiri za maneno “rampant caries” ni nyingi katika fani ya meno lakini la msingi ni kuoza kwa meno kunako enea kwa kasi na kuharibu vichwa (crowns) vya
Pancake za Unga wa Mchele
Written by Issa KapandeLeo katika makala hii, chef Issa anawaletea jinsi ya kuandaa chapati (pancake) za unga wa mchele na choroko, namna ya kupamba chakula na kukifanya kuwa cha mvuto
Upungufu wa Damu Kipindi cha
Written by Dr Fabian P. MghangaUpungufu wa damu (anaemia)
hutafsiriwa
Saratani ya Damu (Leukemia)
Written by Dr Fabian P. MghangaLeukemia ni saratani inayoshambulia tishu za mwili zinazohusika na utengenezaji wa damu zikiwemo supu ya mifupa (bone marrow) na mfumo wa lymph (lyphatic system). Kwa maneno rahisi,
Miaka ya nyuma iliaminika kuwa ugonjwa wa kuoza kwa meno si wa kuambukiza; lakini tafiti nyingi zilizofanyika zimedhihirisha ni ugonjwa wa kuambukiza. Jino lililooza
Kutoga Ulimi ama Mdomo
Written by Dr. Barnabas MbogoKatika zama hizi za utandawazi na muingiliano baina ya tamaduni zetu za asili na tamaduni za kimagharibi, imekuwa ni kawaida kwa vijana wa rika tofauti na jinsia
Magonjwa ya Zinaa - 4: Ugonjwa
Written by Dr KhamisUgonjwa wa Trichomoniasis ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya jamii ya protozoan vinavyojulikana kama Trichomonas vaginalis. Ugonjwa huu huathiri mrija wa kupitisha mkojo unaojulikana kama urethra na
More...
Malaria is known to be the largest single component of the burden of diseases in Tanzania for both morbidity and mortality especially for under
Matatizo ya Akili (Mental Retardation)
Written by Dr KhamisUpungufu wa akili ni tatizo ambalo kwa ujumla hutokea kabla ya mtu kuwa mkubwa (adulthood) na huambatana na dalili za kupunguwa uwezo wa akili ya utambuzi na
Matatizo ya Akili (Mental Retardation)
Written by Dr KhamisUpungufu wa akili ni tatizo ambalo kwa ujumla hutokea kabla ya mtu kuwa mkubwa (adulthood) na huambatana na dalili za kupunguwa uwezo wa akili ya utambuzi na

