Image

Kipindi cha ujauzito ni wakati muhimu sana kwa afya ya mama na mtoto. Ili kuhakikisha mama anajifungua salama na mtoto anazaliwa akiwa na afyanjema, ni muhimu kuhudhuria

Utangulizi:

Labda umekua ukijiuliza kwanini mwanamke hatakiwi kunywa pombe wakati wa ujauzito, na je pombe kiasi gani inaleta madhara kwa mtoto ambaye yuko

Kichwa kikubwa ni ugonjwa wa watoto wachanga wa kutanuka chemba za maji za kichwani na hivyo kupeleka muonekano wa kichwa kuwa mkubwa. Ugonjwa huu ni matokeo ya

Ute wa ukeni ni majimaji yanayotengenezwa na tezi ndogo ndani ya uke na shingo ya kizazi. Majimaji haya huvuja kutoka ukeni kila siku ili kuondoa seli za

Kwa kawaida, meno ya mtoto ya utotoni (meno ya awali) huanza kutoka kuanzia miaka 6. Kwa baadhi ya watoto, huweza kuchelewa kuanza kutoka meno ya utotoni hadi wanapoanza

Afya bora ya kinywa na meno kwa mtoto ni muhimu sana na ina uhususiano wa moja kwa moja na afya yake kwa ujumla. Humuepusha mtoto kupata maumivu,

Kumekuwa na taarifa mbalimbali zinazoripotiwa hapa nchini kuhusu watoto wanaozaliwa wakiwa wameungana. Jamii ya watanzania itawakumbuka sana watoto wa aina hiyo waliofahamika kwa majina ya Mariamu na

Je unafahamu inakadiriwa kuwa, mwanamke hupata hedhi wastani wa mara 400 katika maisha yake? Pia, neno linalotumika sana kuwakilisha hedhi ni "period", neno hili lilianza kutumika kwa mara