Magonjwa ya Moyo ya Kuzaliwa (
Written by Dr.MayalaMuundo ya moyo na mishipa ya damu ni mojawapo ya vinavyooathirika katika magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo. Vijusi(fetuses) kati ya 8 hadi 10 huathirika kwa kila 1000.
<Kushindwa Kujizuia Kujikojolea
Written by Dr KhamisTatizo hili la kujikojolea bila sababu yoyote ya msingi ni tatizo linaloathiri watu wengi sana na ambalo huleta usumbufu na aibu kubwa kama litampata mtu. Tatizo hili
Kwa nini watoto wachanga wanalia?
Ni kawaida kwa watoto kulia. Hata watoto wanaozaliwa na afya njema kabisa wanaweza kulia kwa jumla ya wastani
Mapishi ya Futari
Written by Dr KhamisNi kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ni kipindi cha mfungo kwa ndugu Waislam kote duniani. Kwa kulitambua hilo, wavuti yako ya TanzMED itakuwa ikikuletea makala mbalimbali
Ugonjwa wa Surua (Measles) -
Written by Dr. Paul J. MwanyikaMadhara ya Ugonjwa wa Kaswende
Written by Dr KhamisMadhara ya ugonjwa wa kaswende katika mfumo wa mishipa ya fahamu hutokea miaka 10-20 baada ya mtu kuugua ugonjwa wa kaswende na ambaye hakupata tiba yoyote hapo
Madhara ya Ugonjwa wa Kaswende
Written by Dr Khamis
Madhara ya Ugonjwa wa Kaswende
Written by Dr Khamis
Ufahamu ugonjwa wa Malaria
Written by Dr.MayalaMalaria ni ugonjwa unaoathiri watu wengi sana duniani. Malaria husababisha vifo vya watu milioni 2.7 duniani kote, ambapo vifo vingi hutokea barani Afrika. Ugonjwa wa malaria huonekana katika
More...
Tatizo la Kujihisi Mnene na
Written by Dr Fabian P. MghangaTatizo la kiakili la kujihisi mnene na kupoteza hamu ya kula au Anorexia nervosa ni tatizo linawaathiri watu wengi na kuwafanya kupoteza uzito zaidi ya ule unaokubalika
Viungo vya Nguruwe Kupandikizwa kwa
Written by Dr KhamisWatafiti nchini China wana matarajio makubwa kwamba nguruwe wanaozalishwa kijenetikia (Genetic modified cloned piglets) wanaweza kuwa suluhisho la matatizo ya viungo ambavyo vitaweza kupandikizwa kwa binadamu wenye
Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma),
Written by Dr KhamisUgonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles.
Mtu mwenye pumu huwa na

.jpg)
