Maumivu ya Korodani/pumbu, chanzo, dalili na ushauri nini cha kufanya
KWA kawaida mwanaume ana korodani mbili ambazo zimehifadhiwa katika mfuko maalum wenye tabaka tatu na ndani kuna kiasi kidogo cha maji kinachozunguka korodani ili kuilinda. Mwanaume endapo atakuwa...
Aleji/Mzio (Allergies) si uchawi, nini unatakiwa kufanya?
Mzio au aleji (allergy) ni matokeo ya mpambano uliopitiliza kati ya kinga ya mwili na kitu chochote (ambacho kwa ujumla huwa hakina madhara kwa mwili) inapotokea kimeingia ndani ya mwili au kimegusa...
Ugumba (Infertility)
Ugumba ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili (au kujamiana) bila kutumia njia yoyote ile ya upangaji uzazi kwa muda wa miezi 12 na kutoweza kushika mimba au...

0
Watu tuliowafikia (2020)

0
Nchi tulizozifikia (2020)

0
Active users (2020)

Fuatilia maendeleo ya ujauzito kupitia TanzMED
Nyenzo hii, inakuwezesha kufuatilia maendeleo ya ujauzito, kanuni bora za afya wakati wa ujauzito na hata dalili hatarishi wakati wa ujauzito wiki hadi wiki, kuanzia wiki ya kwanza mpaka unapojifungua. Pia, utaweza kupata ushauri wa Daktari pindi unapohitaji.
Magonjwa
Partners
