Kuchelewa hatua za kukua kwa
Written by Dr Ladina MsigwaUtangulizi:
Kuna hatua muhimu
Je UTI ni ugonjwa wa
Written by Dr Ladina MsigwaUtangulizi:
Mara nyingi tumeona katika mitandao ya kijamii au katika story za vijiweni tunasikia maambukizi ya njia ya mkojo(UTI) yakihusishwa na magonjwa
Kuelewa athari za msongo wa
Written by Dr. Hussen MshungaUtangulizi
Katika dunia ya leo , msongo wa mawazo ni hali isiyoweza kuepukika ya maisha yetu ya kila siku. Kazi, majukumu ya kifamilia, na
Umuhimu Wa Mahudhurio Ya Kliniki
Written by Dr Ladina MsigwaKipindi cha ujauzito ni wakati muhimu sana kwa afya ya mama na mtoto. Ili kuhakikisha mama anajifungua salama na mtoto anazaliwa akiwa na afyanjema, ni muhimu kuhudhuria
Kuelewa ADHD kwa Watoto: Mwongozo
Written by Kulea mtoto ni safari iliyojaa furaha, changamoto, na kujifunza. Hata hivyo, ikiwa mtoto wako anaonekana kupambana zaidi katika kuzingatia, kubaki tuli,kuwa makini au kutenda kwa haraka bila kufikiri, hii inaweza kuwa ishara ya Upungufu wa Makini naKuelewa ADHD kwa Watoto: Mwongozo kwa Wazazi
Je, umewahi kukutana na mtu ambaye anapenda sana utaratibu na anaona vigumu kubadili ratiba yake ya kila siku? Au labda umeona mtoto ambaye anapendelea kucheza peke yake
Kichocho ni zaidi ya kukojoa.
Written by Dr Ladina MsigwaBila shaka umewahi kuusikia ugonjwa uitwao kichocho (bilharzia/schistosomiasis). Je unajua kuwa kichocho ni zaidi ya kukojoa damu tu? Unajua unaambukizwaje na namna gani unaweza kujilinda nao?
Monkeypox / homa ya nyani
Written by Dr Ladina Msigwa
Kumekua na mlipuko barani Africa, nchi za jirani pia zimetangaza kua na wagonjwa wa mpox. Hivi karibuni hata mabara mengine yameanza kutangaza
Kiwango gani cha pombe ni
Written by Dr Ladina MsigwaUtangulizi:
Labda umekua ukijiuliza kwanini mwanamke hatakiwi kunywa pombe wakati wa ujauzito, na je pombe kiasi gani inaleta madhara kwa mtoto ambaye yuko
Fahamu Zaidi Kuhusu Afya ya
Written by Dr.Grace MapundaAfya ya Akili
Afya ya akili maana yake ni hali ya kuwa sawa kihisia, kisaikolojia na kijamii inayoambatana na kuwa na uwezo wa
More...
Virusi Vya Ukimwi (VVU) na
Written by TanzMED AdminKama wewe ni mwanamke unayeishi na virusi vya UKIMWI (VVU) haupaswi kukata tamaa juu ya wazo lako la kuwa mama au kuendelea kupata watoto. Kwa nchi ya
Ugonjwa wa saratani ya Ubongo (
Written by Dr Juma MagogoSaratani ya ubongo ni uvimbe uliotokana na mkusanyiko wa chembebehai za ubongo zilizotengenezwa kwa wingi bila mpangilio kutokana na kubadilika kwa DNA. Ikiwa chembehai hizo ni za
Fahamu ukweli, hatari na matibabu
Written by Dr Juma MagogoKichwa kikubwa ni ugonjwa wa watoto wachanga wa kutanuka chemba za maji za kichwani na hivyo kupeleka muonekano wa kichwa kuwa mkubwa. Ugonjwa huu ni matokeo ya
Fahamu kuhusu ugonjwa wa Kipanda
Written by Dr Juma MagogoKipanda uso ni ugonjwa wa kinasaba unaosababisha maumivu makali ya kichwa kwenye paji la mbele la uso zikiambatana na dalili nyingine ambazo zinaathiri kazi za maisha ya